Yesu Alia Msalabani
Yesu Alia Msalabani | |
---|---|
Performed by | - |
Category | Kwaresma na Toba (Lent & Repentance) |
Views | 11,540 |
Yesu Alia Msalabani Lyrics
- Yesu alia msalabani. Asikitika juu ya dhambi zetu
Asulubiowa asiyekosa kwamba yeye ni mosajiEe mwanadamu lipi ambalo linalonipasa kuwatendea
Ambalo sikuwatendeeni, hata ikanipasa msalaba - Magonjwa yote aliyaponya, wafu nao aliwafufua
Kundi la watu aliwaponya, lipi alilokosa - Watu wa Mungu Bwana alia asikitika juu ya dhambi zenu
Asulubiwa asiyekosa kwamba ni mkosaji - Wana wa Mungu, Bwana alia, asema nyinyi mwamsulubisha,
Msipobeba misalaba yenu kwani nyinyi m wakosaji - Tazama Bwana akulilia, akuita ndipo akuokoe
Tazama haya mapenzi yake Bwana hayana mwisho