Yesu Amefufuka
Yesu Amefufuka | |
---|---|
Performed by | - |
Category | Pasaka (Easter) |
Views | 6,496 |
Yesu Amefufuka Lyrics
- Yesuamefufuka *2 ametoka kaburini
Haya shangilia *2 ametoka kabrurini *2 - Shetani, - ameshindwa *2 hana lake duniani
Haya shangilia *2 hana lake duniani *2 - Yesukatokea *2 Wanafunzi wake wote
Haya shangilia *2 wanafunzi wake wote*2 - Amani iwe kwenu*2 mpokee roho yangu
Haya shangilia *2 mpokee roho yangu *2 - Bwana Yesu kapaa *2, sasa yu juu mbinguni
Haya shangilia *2 sasa yu juu mbinguni*2 - SasaKristu huketi *2 kuumeni kwa Baba
Haya shangilia *2 kuumeni kwa Baba *2