Yesu Kapita Samaria

Yesu Kapita Samaria
ChoirTBA
CategoryTafakari
Composer(traditional)
Musical Notes
Time SignatureCommon
Music KeyG Major

Yesu Kapita Samaria Lyrics

 1. Yesu kapita Samaria,
  Wagonjwa kumi wakamuona
  Wakiwa mbali wakamuita,
  Mwalimu Yesu tuhurumie

  {Yesu - Mnazareti tuhurumie
  Yesu - Mwenye huruma akawaponya} * 2

 2. Wakati wote Mwokozi Yesu,
  Alipopita huku na huko
  Aliwakuta walemewao,
  Na kwa huruma akawaponya
 3. Na hata sisi Yesu aweza,
  Kuja kwetu tunapomuita
  Kutuokoa toka dhambini,
  Na kuwa naye huko mbinguni
Baadhi ya kwaya ambazo zimerekodi wimbo huu ni kwaya ya Thika