Yesu Kristu Ni Mfalme
Yesu Kristu Ni Mfalme | |
---|---|
Performed by | - |
Category | Kristu Mfalme (Christ the King) |
Composer | G. A Chavalla |
Views | 22,253 |
Yesu Kristu Ni Mfalme Lyrics
Yesu Kristu ni mfalme-
Ni mfalme wa wafalme, Ni Bwana wa mabwana
Utawala wake si wa dunia hii [Dunia hii]
Utawala wake ni wa Mbinguni- Utawala wake Yesu ungekuwa ni wa dunia hii (kweli)
Hakika angekuwa na jeshi lake la kumlinda - Utawala wake Yesu ungekuwa ni dunia hii
(kweli) Hakika angekuwa na serikali ya kuiongoza - Utawala wake Yesu ungekuwa ni wa dunia hii
(kweli) Kamwe asingekufa kwa ajili yetu sisi wanadamu