Yesu Kristu Ni Mfalme

Yesu Kristu Ni Mfalme
Choir-
CategoryKristu Mfalme (Christ the King)
ComposerG. A Chavalla

Yesu Kristu Ni Mfalme Lyrics

 1. Yesu Kristu ni mfalme-
  Ni mfalme wa wafalme, Ni Bwana wa mabwana
  Utawala wake si wa dunia hii [Dunia hii]
  Utawala wake ni wa Mbinguni

 2. Utawala wake Yesu ungekuwa ni wa dunia hii (kweli)
  Hakika angekuwa na jeshi lake la kumlinda
 3. Utawala wake Yesu ungekuwa ni dunia hii
  (kweli) Hakika angekuwa na serikali ya kuiongoza
 4. Utawala wake Yesu ungekuwa ni wa dunia hii
  (kweli) Kamwe asingekufa kwa ajili yetu sisi wanadamu