Yesu Nakushukuru

Yesu Nakushukuru
ChoirSt. Mary's Ongata Rongai
AlbumYesu Nakushukuru
CategoryThanksgiving / Shukrani
ComposerOchieng Odongo

Yesu Nakushukuru Lyrics

Yesu nakushukuru, ( asante ) *4
{ Umenilisha, asante, umeninywesha, asante,
Umenipenda, asante, umenilinda, asante } *2

 1. Ee Bwana wangu nitakushukuruje,
  Kwa pendo lako lisilo na kipimo,
  Unanipenda Bwana nasema asante, Bwana,
 2. Umenitunza kwa msingi wa kweli,
  Naburudika kwa wingi wa divai,
  Unanipenda Bwana nasema asante, Bwana,
 3. Kwa pendo lako wanilinda salama,
  Kwa wema wako ninapata fanaka,
  Unanipenda Bwana nasema asante, Bwana,
 4. Ee Yesu wangu nitakushukuruje,
  Kwa ukombozi na zawadi ya mbingu,
  Unanipenda Bwana nasema asante, Bwana,