Sheria Yako

Sheria Yako
Performed byKwaya Kuu ya St. Cecilia Arusha
AlbumKidole Juu (Vol 23)
CategoryZaburi
ComposerJerome Kagoma
Views6,622

Sheria Yako Lyrics

  1. Sheria yako naipenda mno ajabu *2
    Sheria yako aee naipenda aeee
    Sheria yako naipenda naipenda
    mno ajabu, mno ajabu, ajabu

  2. Bwana ndiye aliye fungu langu he! he! he! *2
    Nimesema nitayatii maneno maneno yako *2
  3. Nakuomba fadhili zako ziwe he! he! he! *2
    Ziwe faraja kwangu sawa sawa na ahadi yako *2
  4. Nimeyapenda maagizo yako he! he! he! * 2
    Kuliko dhahabu naam dhahabu iliyo safi * 2
  5. Shuhuda zako ni za ajabu he! he! he! *2
    Ndiyo maana roho roho yangu imezishika * 2