Ninainua Mikono
Ninainua Mikono | |
---|---|
Performed by | Kwaya Kuu ya St. Cecilia Arusha |
Album | Kidole Juu (Vol 23) |
Category | Entrance / Mwanzo |
Composer | A. Sulla |
Views | 4,598 |
Ninainua Mikono Lyrics
Ninainua mikono kukutukuza Mungu wangu (mwema)
Ninapiga na makofi kushangilia uwezo wako
Wewe Mungu ni mwema (kwa wote)
Huruma yako ni ya mile-le
Enzi ufalme ni wako milele yote
Wewe Mungu ni mwema (kwa wote)
Ukuu wako ni wa mile-le
Tunakushangilia kwa nyimbo za sha-ngwe- Unatulinda watubariki sisi wanao
Neema tele watujalia sisi wanano
Twakushangilia tukiusifu ukuu wako *2 - Ajali za kutisha Bwana umetulinda vyema
Na vifo vya kutisha Bwana umetulinda vyote
Ni wewe Baba wajua yote
Kwani hakuna zaidi ya-ko - Tunaimba kwa furaha tukisifu
Utukufu wako Mungu wetu
Tunashangilia ukuu na upendo wako