Jina la Yesu Lafanya Mambo

Jina la Yesu Lafanya Mambo
Performed bySt. Don Bosco Mirerani
AlbumRamani ya Mbinguni
CategoryTafakari
ComposerC. A. L. Ndomelo
Views3,898

Jina la Yesu Lafanya Mambo Lyrics

  1. Aeeh! Njooni muone - muone
    Njooni muone - muone
    Njooni muone Jina la Yesu - aeh!
    {Linafanya mambo - aa aah!
    Linafanya mambo - Jina la Yesu
    Lafanya mambo makuu sana} *2

  2. Kwa jina la Yesu pepo wanakimbia
    Kwa jina la Yesu wagonjwa wanapona
    Kwa jina la Yesu viwete wanatembea
    Kwa jina la Yesu vipofu wanaona
  3. Kwa jina la Yesu mabubu wanaongea
    Nao viziwi wana wanakusikia
    Kwa jina la Yesu waganga wanaokoka
    Kwa jina la Yesu dhambi wanazitubu
  4. Kwa jina la Yesu waongo wanaokoka
    Kwa jina la Yesu na wezi wanatubu
    Kwa jina la Yesu wazinzi wanaokoka
    Kwa jina la Yesu Mbinguni wataenda