Imani Kipimo
Imani Kipimo | |
---|---|
Performed by | St. Cecilia Kajiado |
Album | Imani Kipimo |
Category | Faith |
Composer | O. A. Tarimo |
Views | 4,593 |
Imani Kipimo Lyrics
Kipimo cha uzani kwa hakika kinaitwa kilo
(Pia) kipimo cha ujazo jina lake kinaitwa lita
(Sasa) kipimo cha imani yako ni nini } * 2- Angalia maisha na matendo yako
Na uyafananishe na imani yako - Ukiwa na imani, pasipo matendo
Yote ni kazi bure, haifai kitu - Kipimo cha imani ni matendo yako
Ukiwa na imani na matendo mema
***
Imani – Imani (yako) bila matendo
Haifai kitu, imekufa imani hiyo ni kazi bure! * 2