Tufurahi

Tufurahi
ChoirMoyo Safi (Unga Ltd)
AlbumTufurahi
CategoryEntrance / Mwanzo
ComposerBernard Mukasa

Tufurahi Lyrics

  1. Tufurahi - Mungu wetu atupenda wanae wote
    Tufurahi - Mungu wetu atupenda wanae

    Watu wote - wanameremeta tazama
    Wamevaa - mavazi mazuri oneni
    Nyuso zao - tabasamu shangwe nderemo na vifijo *2

  2. Tuimbe wote -
    Tufurahi -
  3. Mungu wetu -
    Atuinua -
  4. Atupenda -
    Atuinua -
  5. Pendo gani -
    Ametupa -
  6. Ndugu yangu -
    Tupendane -