Haya Njooni Njooni
| Haya Njooni Njooni | |
|---|---|
| Performed by | Kwaya Kuu ya St. Cecilia Arusha |
| Album | Haya Tazameni (Vol 21) |
| Category | Entrance / Mwanzo |
| Composer | Gabriel C. Mkude |
| Views | 7,752 |
Haya Njooni Njooni Lyrics
{Haya njooni njooni, njooni tumsifu Bwana
Haya njooni njooni, tumwimbie kwa furaha } *2
{Tetemekeeni mbele zake, na msujudieni yeye
Haya njooni njooni tumwimbie kwa furaha } *2- Jongeeni mbele zake, jongeeni patakatifu
Jongeeni tumuabudu Bwa-na Mungu wetu - Kwapendeza *2 kusifu kwapendeza sana
Njooni kwa shangwe tumsifu na tumsujudie - Sujuduni kwa heshima mbele ya kiti chake Bwana
Mbele ya kiti chake Bwana kiti chake cha enzi