Login | Register

Sauti za Kuimba

Haya Njooni Njooni Lyrics

HAYA NJOONI NJOONI

@ Gabriel C. Mkude

{Haya njooni njooni, njooni tumsifu Bwana
Haya njooni njooni, tumwimbie kwa furaha } *2
{Tetemekeeni mbele zake, na msujudieni yeye
Haya njooni njooni tumwimbie kwa furaha } *2

  1. Jongeeni mbele zake, jongeeni patakatifu
    Jongeeni tumuabudu Bwa-na Mungu wetu
  2. Kwapendeza *2 kusifu kwapendeza sana
    Njooni kwa shangwe tumsifu na tumsujudie
  3. Sujuduni kwa heshima mbele ya kiti chake Bwana
    Mbele ya kiti chake Bwana kiti chake cha enzi
Haya Njooni Njooni
COMPOSERGabriel C. Mkude
CHOIRKwaya Kuu ya St. Cecilia Arusha
ALBUMHaya Tazameni (Vol 21)
CATEGORYEntrance / Mwanzo
SOURCESt. Theresa Cathedral Arusha Tanzania
  • Comments