Kyenzenzelu
| Kyenzenzelu | |
|---|---|
| Alt Title | Amkeni Watu wa Mataifa |
| Performed by | Our Lady of Africa, Kitui Cathedral |
| Album | Natamani Paradiso |
| Category | Entrance / Mwanzo |
| Views | 25,968 |
Kyenzenzelu Lyrics
Amkeni watu wa mataifa yote, kyenzenzelu,
Tumsifu Mungu wetu mwenye uwezo, kyenzenzelu
(kwa maana) Bwana Mungu
Ametenda mambo makuu ya ajabu, kyenzenzelu
Tuimbe tucheze tusifu Mungu wetu, kyenzenzelu *2- Simameni wazee kwa vijana wote kwa furaha, tumsifu
Tumwimbie Jalali wetu Mwenyezi, mtawala *2 - Ni mfalme bendera ya wokovu wetu kwa furaha, tumsifu
Tumpe sifa kiongozi wetu shupavu, mtawala *2 - Kwa hakika ni Alfa na ndiye Omega kwa furaha, tumsifu
Jemedari hoye hoye ni mshindi, mtawala *2 - Tumwimbie, dunia na nchi icheze kwa furaha, tumsifu
Tumchezee milima nayo iyumbe, mtawala *2 - Tumhimidi aliyeumba vitu vyote kwa furaha, tumsifu
Bahari na duniani na mbinguni, mtawala *2