Twakusalimu Mama Bikira

Twakusalimu Mama Bikira
Performed bySt. Mary's Ongata Rongai
AlbumYesu Nakushukuru
CategoryBikira Maria
ComposerOchieng Odongo
Views5,042

Twakusalimu Mama Bikira Lyrics

  1. Twakusalimu Mama Bikira
    Twakusalimu Mama Bikira
    Salamu Malkia wa Mbingu (mama)
    {Umejaa neema, Maria
    Umebarikiwa, ee Mama
    Utuombee eh kwa Mungu }*2

  2. Mama yetu mwema, Bikira
    Chombo cha heshima, Maria
  3. Mama yake Mungu, Bikira
    U mwombezi wetu, Maria
  4. Mama wa Muumba, Bikira
    Mama wa Mwokozi, Maria
  5. Mama mpendelevu, Bikira
    Ewe mwenye heri, Maria

    Mzazi 'takatifu, Bikira
    Mkuu wa mabikira, Maria