Siku Ile

Siku Ile
Performed bySt. Mary's Ongata Rongai
AlbumYesu Nakushukuru
CategoryZaburi
ComposerOchieng Odongo
Views4,251

Siku Ile Lyrics

  1. Siku ile niliyokuita, Bwana uliniitikia *2
    (Kweli) Ukanifariji nafsi kwa kunitia nguvu *2

  2. Nitakushukuru kwa moyo wangu wote
    Mbele ya miungu nitakuimbia zaburi
  3. Nitalishukuru jina lako ee Bwana
    Kwa ajili ya fadhili na uaminifu wako
  4. Kwa maana umekuza amri yako
    Kuliko jina lako jina lako takatifu
  5. Ingawa Bwana yuko kule juu Mbinguni
    Twamwona mnyenyekevu na mwenye kujikuna
  6. Ee Bwana fadhili zako ni za milele
    Usiziache katika mikono yako Bwana