Siku Ile

Siku Ile
ChoirSt. Mary's Ongata Rongai
AlbumYesu Nakushukuru
CategoryZaburi
ComposerOchieng Odongo

Siku Ile Lyrics

Siku ile niliyokuita, Bwana uliniitikia *2
(Kweli) Ukanifariji nafsi kwa kunitia nguvu *2


1. Nitakushukuru kwa moyo wangu wote
Mbele ya miungu nitakuimbia zaburi

2. Nitalishukuru jina lako ee Bwana
Kwa ajili ya fadhili na uaminifu wako

3. Kwa maana umekuza amri yako
Kuliko jina lako jina lako takatifu

4. Ingawa Bwana yuko kule juu Mbinguni
Twamwona mnyenyekevu na mwenye kujikuna

5. Ee Bwana fadhili zako ni za milele
Usiziache katika mikono yako Bwana

Favorite Catholic Skiza Tunes

SMS the Skiza ID to 811 to get the song as your Skiza tune.

TitleSKIZA ID
Cha Kutumaini Sina 5814855
Roho Yangu na Ikuimbie 5814859
Nikupe Nini Mungu Wangu 7482438
Sasa Wakati Umefika 7482439
Nitakwenda Mimi Mwenyewe 7482440
Zaeni Matunda Mema 5814860
Bwana Kama Wewe Ungehesabu Maovu Yetu 7482444
Huniongoza Mwokozi 5814856
Utukuzwe Ewe Baba 7482441
Tazama Tazama 7482442