Tembea na Yesu
Tembea na Yesu | |
---|---|
Performed by | St. Mary's Ongata Rongai |
Album | Yesu Nakushukuru |
Category | Tafakari |
Composer | Ochieng Odongo |
Views | 10,489 |
Tembea na Yesu Lyrics
Tembea, ndugu yangu -
Tembea na Yesu (kwa hakika)
Tembea, siku zote -
Tembea na Yesu (kweli) *2- Ukiwa safarini, hata uwe nyumbani
Ukiwa kanisani, na hata uwe kazini - Ukienda safari, ukienda shuleni
Shida zinapokuja, hata ukifanikiwa - Ukiwa na magonjwa, hata uwe na afya,
Ukiwa maskini, na hata uwe tajiri - Vita vinapokuja, amani isiwepo
Ukiwa na huzuni, hata uwe na faraja