Nuru Huwazukia

Nuru Huwazukia
Performed bySt. Mary's Ongata Rongai
AlbumYesu Nakushukuru
CategoryZaburi
ComposerOchieng Odongo
Views3,359

Nuru Huwazukia Lyrics

  1. Nuru huwazukia wote wenye adili - gizani * 2
    {Bwana ni - mwenye fadhili
    Tena ni - mwenye huruma
    Na kazi zake - anazitenda kwa haki}*2

  2. Kweli atendaye fadhili na kumkopesha
    Atengenezaye mambo yake kwa haki
  3. Kwa maana hataondoshwa hata kidogo
    Mwenye haki atakumbukwa milele yote
  4. Wala yeye hataogopa habari mbaya
    Nao moyo wake ulomtumaini Bwana
  5. Hata waombe watesi wote wameshinda
    Amekirimu na kuwapa maskini wote
  6. Haki yake kweli yadumu milele yote
    Pembe yake inatukuzwa kwa utukufu