Ni Asubuhi Njema
Ni Asubuhi Njema | |
---|---|
Performed by | St. Augustine Egerton University |
Category | Entrance / Mwanzo |
Views | 18,457 |
Ni Asubuhi Njema Lyrics
{ Ni asubuhi njema Mungu katujali,
Amkeni sote tumshukuru Mungu } *2
{ Amkeni (amkeni amkeni)
Amkeni (amkeni)
Amkeni sote tumshukuru Mungu } *2- Tazameni Mungu anavyotupenda
Akatujalia asubuhi njema - Ametulinda huu usiku wote
Sisi tumpe nini Mungu wetu - Tupige magoti mbele zake Mungu
Sote tumwambie asante Bwana - Mungu ni mwema kila wakati
Na upendo wake wadumu milele