Njooni Nyote Tuingie
Njooni Nyote Tuingie | |
---|---|
Performed by | Our Lady of Fatima Kongowea |
Album | Kila Mwenye Pumzi (vol 4) |
Category | Entrance / Mwanzo |
Views | 8,910 |
Njooni Nyote Tuingie Lyrics
- Njooni nyote tuingie, nyumbani mwake Bwana
Njooni nyote tuingie, nyumbani mwake BwanaTuingie nyumbani, nyumbani mwa Bwana
Kwa shangwe na nderemo, makofi tupige
{ Tumwabudu Mungu kwa furaha tumsifu
Tumwimbie nyimbo nzuri, yeye ndiye muumba wetu } *2 - Kina mama tuingie . . .
Kina babu tuingie . . . - Na vijana tuingie . . .
Na watoto tuingie . . . - Ni mahali pa- sala . . .
Tutoe shukrani . . . - Tutapata msamaha . . .
Tutapata ba-raka . . .