Njooni Wote Tufurahie
| Njooni Wote Tufurahie | |
|---|---|
| Performed by | St. Cecilia Zimmerman |
| Album | Nitayasimulia Matendo (Vol 6) |
| Category | Entrance / Mwanzo |
| Composer | J. C. Shomaly |
| Views | 5,243 |
Njooni Wote Tufurahie Lyrics
- Njooni wote tufurahie tushangilie
Watu wote simameni pigeni makofi
Tumwimbie kwa furaha na shangwe kuu
Watu wote simameni pigeni makofi{Tupige ngoma na kayamba
Marimba na vigelegele
Nyumba ya Bwana yapendeza
watu wote tufurahi} *2 - Bwana ametamalaki, tushangilie . . .
Amejivika adhama, tushangilie . . . - Kawakomboa misri toka utumwa . . .
Tumwimbie kwa furaha na shangwe kuu . . . - Aliratibisha jua na mbalamwezi . . .
Twaipata hewa safi pia chakula . . .