Njooni Wote Tufurahie Lyrics

NJOONI WOTE TUFURAHIE

@ J. C. Shomaly

 1. Njooni wote tufurahie tushangilie
  Watu wote simameni pigeni makofi
  Tumwimbie kwa furaha na shangwe kuu
  Watu wote simameni pigeni makofi

  {Tupige ngoma na kayamba
  Marimba na vigelegele
  Nyumba ya Bwana yapendeza
  watu wote tufurahi} *2

 2. Bwana ametamalaki, tushangilie . . .
  Amejivika adhama, tushangilie . . .
 3. Kawakomboa misri toka utumwa . . .
  Tumwimbie kwa furaha na shangwe kuu . . .
 4. Aliratibisha jua na mbalamwezi . . .
  Twaipata hewa safi pia chakula . . .
Njooni Wote Tufurahie
COMPOSERJ. C. Shomaly
CHOIRSt. Cecilia Zimmerman
ALBUMNitayasimulia Matendo (Vol 6)
CATEGORYEntrance / Mwanzo
 • Comments