Tena
   
    
     
         
          
            Tena Lyrics
 
             
            
- |s| {Haya haya haya tena haya tumerudi
 tena kukuimbia kukusifu kwa nyimbo
 tena watu kuwainua tena wakutukuze wewe }* 2
 |b| haya haya haya tena haya tumerudi
 tena twaja kukuimbia kukusifu kwa nyimbo tena
 tena wakutukuze wewe tena
 |a| haya haya tena haya tena haya tena kukuimbia
 Kukusifu kwa nyimbo tena tena tena
 wakutukuze wewe tena
 |t| haya haya tena haya tumerudi
 tena twaja kukuimbiaTena tena
 watu kuwainua tena wewe tena wewe tena } 2
- Teremka uzisikilize nyimbo tulizokutungia
 Karama ulizotujalia
- Njoo Bwana uzisikie sauti tamu ulizoumba
 Wanao tunakurudishia
- Tega sikio usikie midundo tunayokupigia
 Yote hii wewe utukuzwe
- Tupa jicho ujionee miondoko tunayokanyaga
 Mifupa uliyotujengea
 
 
 {Ni wewe tena uhimidiwe ni wewe tena!
 Ni wewe tena ushangiliwe tena }*2