Twende Sote Nyumbani
| Twende Sote Nyumbani | |
|---|---|
| Performed by | - | 
| Category | Entrance / Mwanzo | 
| Views | 8,931 | 
Twende Sote Nyumbani Lyrics
- Twende sote nyumbani, twende sote nyumbani
 Kwake Mungu muumba wetu
 Twende tukamwabudu kwani anatupenda
- Kina Baba na mama twende tukamwabudu
 Tukapate baraka twende tukamwabudu
- Wazee kwa vijana …
 Dada wote na kaka …
- Shangwe na vigelegele . . .
 Na kwa unyenyekevu . . .
- Tutubu dhambi zetu . . .
 Tumuombe neema . . .
- Mungu anawastahili sana . . .
 Hakuna kama yeye . . .
 
  
         
                            