Maneno Yako Bwana
Maneno Yako Bwana | |
---|---|
Performed by | - |
Category | Injili na Miito (Gospel) |
Views | 3,146 |
Maneno Yako Bwana Lyrics
{Maneno yako Bwana ni roho (ni roho)
Ni roho tena ni uzima (ni uzima) } *2
{Wewe Bwana unayo maneno ya uzima
Wewe Bwana unayo maneno (ya uzima )
Ya uzima wa milele (ni uzima) } *2- Fungua mioyo yetu ee Bwana,
Tuyatunze maneno ya mwanao,
Tuyatunze maneno ya mwanao - Maneno yako Bwana tuyashike
Yatufundishe na kutuongoza
Yatupe faraja na wokovu - Maneno yako Bwana ndiyo mwanga
Maneno yako Bwana ndiyo mwanga
Humulika wakati wa giza