Sikilizeni Mataifa
| Sikilizeni Mataifa | |
|---|---|
| Performed by | - |
| Category | Injili na Miito (Gospel) |
| Views | 3,665 |
Sikilizeni Mataifa Lyrics
Sikilizeni sikilizeni mataifa *2
{Nawatuma ninyi kati ya mbwa mwitu
Kuweni wapole kama njiwa }*2- Nami nitawapa ninyi Roho wa hekima
Awaongoze katika njia zote - Mtawakanyaga nyoka pia nge
Lakini kwa jina langu hamtashi-ndwa - Sheria zangu ni kuu kwao watu wote
Aniaminiye mimi ataoko-ka