Atazidi Kuitwa
Atazidi Kuitwa | |
---|---|
Performed by | St. Veronica Kariakor Dar-es-salaam |
Album | Kama Nyuki |
Category | Ekaristia (Eucharist) |
Composer | R. Masanja |
Views | 3,725 |
Atazidi Kuitwa Lyrics
Atazidi kuitwa Yesu Mwana wa Maria milele *2
Yesu mwana wa Mungu, (atazidi kuitwa . . .)
ni mwana wa Maria milele *2- Yeye ni mwamba, kinga na ngome yangu
- Tabibu wangu, mwili na roho yangu
- Nitamwimbia zaburi alfajiri
- Vizazi vyote vitamtumikia
- Njooni wafalme, huyu ni Mungu wetu
- Njooni tucheze, ngoma na tarumbeta