Baraka za Mungu
Baraka za Mungu | |
---|---|
Performed by | St. Gabriel Biticha Kisii |
Album | Baraka Zinashuka |
Category | Ekaristia (Eucharist) |
Composer | J. C. Shomaly |
Views | 10,350 |
Baraka za Mungu Lyrics
{Baraka za Mungu leo zinashuka,
zinashuka zinashuka }*2
Tunaimba, tunaimba, twashukuru Mungu Baba
Kwa heshima, sakramenti, nafurahia Mkatoliki- Sakramenti ya kitubio, tunatubu
Sakramenti ya ekaristi mwili wake,
Nafurahia mkatoliki - Sakramenti ya ubatizo, twaokoka
Twapata na Kipaimara tuna nguvu, . . . - Sakramentini ya daraja pia ndoa
Twapata pia na mapadri na masista, . . .