Baraka za Mungu Lyrics

BARAKA ZA MUNGU

@ J. C. Shomaly

{Baraka za Mungu leo zinashuka,
zinashuka zinashuka }*2
Tunaimba, tunaimba, twashukuru Mungu Baba
Kwa heshima, sakramenti, nafurahia Mkatoliki

 1. Sakramenti ya kitubio, tunatubu
  Sakramenti ya ekaristi mwili wake,
  Nafurahia mkatoliki
 2. Sakramenti ya ubatizo, twaokoka
  Twapata na Kipaimara tuna nguvu, . . .
 3. Sakramentini ya daraja pia ndoa
  Twapata pia na mapadri na masista, . . .
Baraka za Mungu
COMPOSERJ. C. Shomaly
CHOIRSt. Gabriel Biticha Kisii
ALBUMBaraka Zinashuka
CATEGORYEkaristia (Eucharist)
 • Comments