Furahini Jerusalemu

Furahini Jerusalemu
Performed by-
CategoryEkaristia (Eucharist)
ComposerJ. C. Shomaly
Views3,469

Furahini Jerusalemu Lyrics

  1. Furahi ee Yerusalemu, furahi na tena
    {Mshangilieni nyinyi nyote mmpendao
    Nyinyi mliao kwa ajili yake } * 2

  2. Mpate kushiba na kunyonya, kushibishwa maziwa
    Na maziwa ya faraja faraja zake Kristu.
  3. Furahieni fadhili zake, fadhili zake Mumba wetu
    Kwa ajili ya faraja faraja zake Kristu