Kwako Bwana Zinatoka Sifa Zangu
Kwako Bwana Zinatoka Sifa Zangu | |
---|---|
Performed by | St. Joseph Cathedral Dar-es-Salaam |
Category | Ekaristia (Eucharist) |
Composer | John Mgandu |
Views | 6,496 |
Kwako Bwana Zinatoka Sifa Zangu Lyrics
Kwako Bwana zinatoka sifa zangu (sifa zangu) * 4
Katika katika kusanyiko katika kusanyiko kubwa
Aleluya aleluya aleluya- Nitaziondoa nadhiri zangu,
Mbele ya wamchao * 2
Wapole watakula na kushiba,
Wamtafutao Bwana wataamsifu - Miisho yote ya dunia itakumbukwa
Na watu watamrejea Bwana *2
Jamaa zote za mataifa watamsujudia,
Wakwasi wote wa dunia watakula na kusujudu - Zitasimuliwa habari za Bwana
kwa kizazi kitakachokuja *2
Nao watawahubiri watakaozaliwa haki yake
Ya kwamba ndiye aliyefanya ndiye aliyefanya
Umerekodiwa na kwaya kadhaa pamoja na
* Kwaya ya Familia Takatifu, Kanisa Kuu la Mtakatifu Yusufu, Jimbo la Dar-es-Salaam
* Kwaya ya Bikira Maria Mama wa Mateso Saba Babati Manyara Arusha
na nyinginezo