Nitajongea Altare Yako
Nitajongea Altare Yako | |
---|---|
Performed by | - |
Category | Ekaristia (Eucharist) |
Views | 4,038 |
Nitajongea Altare Yako Lyrics
Nitajongea altare yako,
Furaha yangu na heri yangu siku zote- Peleka mwanga wako wa uaminifu wako
Viniongoze vinipeleke kwako,
katika hekalu lako takatifu - Nami nitajongea altare ya Mungu
Mungu wa furaha yangu nami nitakusifu
Moyo wangu kwani wasikitika - Nafsi yangu kwa nini kuinama na kufadhaika
Umtumaini Mungu, kwani yeye ndiye nguvu zako - Sifa kwa Baba na mwana na Roho Mtakatifu
Kama toka mwanzo, na sasa na milele. amina.