Sakramenti Kubwa Hiyo

Sakramenti Kubwa Hiyo
Alt TitleTantum Ergo Sacramentum
Performed bySt. Joseph Cathedral Dar-es-Salaam
CategoryEkaristia (Eucharist)
ComposerSt. Thomas Aquinas
Views22,749

Sakramenti Kubwa Hiyo Lyrics

  1. Sakramenti kubwa hiyo, twaheshimu kifudi
    Na sheria ya zamani, ikomeshwe na hiyo
    Yafichikayo machoni, imani huyaona *2
  2. Mungu Baba Mungu mwana asifiwe kwa shangwe
    Kwa heshima atukuzwe, pia aabudiwe
    Mungu Roho Mtakatifu vile sifa apate *2