Tujongee Mbele ya Meza
Tujongee Mbele ya Meza Lyrics
Tujongee mbele ya meza yake Bwana
{
|s|t| tukale chakula cha uzima,
tukale chakula cha uzima,
Bwana ametuandalia
|a/b| tukale chakula cha uzima cha uzima } * 2
- Chakula kiko tayari, Bwana ametuandalia
Anatukaribisha twende mezani, kwa chakula cha uzima
- Hiki ni chakula kweli, kinashibisha roho zetu
Chakula hiki ni mwili na damu, ya Bwana wetu Yesu
- Hiki ni chakula kweli, kinachotoka mbinguni
Atakayekula chakula hiki, ataishi milele
- Damu yangu ni kinywaji kweli, Yesu ametuandalia
Atakayekunywa damu yangu, anao uzima wa milele