Kongoi Mising
   
    
     
         
          
            Kongoi Mising Lyrics
 
             
            
- Kongoi mising Cheptalel Kwandanyo
 Kongoi mising (haiya haiya) kongoi missing kiptayanyo
 Kongoi mising (haiya haiya) kongoi missing kiptayanyo
 {Kongoi we kongoi cheptalel (kongoi)
 Kongoi we Baba kongoi mising }*2
 {Twakushukuru Mungu, maana we u mwema
 Kongoi we Baba kongoi mising } *2
- Wakati wa majonzi, wewe ndiwe tulizo
 Wakati wa hasira wewe ni burudisho (hakika)
 Wakati wote Baba wewe ni tegemeo
 Wakati wote Baba wewe ni tegemeo
- Giza likitokea wewe ndiwe mwangaza
 Magonjwa yakijiri wewe ndiwe tabibu
 Wakati wote Baba wewe ni tegemeo
 Wakati wote Baba wewe ni tegemeo
- Adui zangu wote umewaaibisha,
 Japo ni wengi sana kama nywele za kichwa
 Wakati wote Baba wewe ni tegemeo
 Wakati wote Baba wewe ni tegemeo
- Wakati wa- njaa wewe ni msaada
 Wajane mayatima wewe unawalinda wote
 Wakati wote Baba wewe ni tegemeo
 Wakati wote Baba wewe ni tegemeo
 
 //Hitimisho//
 Kongoi mising Cheptalel Kwandanyo
 Kongoi mising (haiya haiya)
 kongoi missing kiptayanyo
 Kongoi mising (haiya haiya)
 kongoi missing kiptayanyo