Nakushukuru Baba
Nakushukuru Baba | |
---|---|
Performed by | Moyo Safi (Unga Ltd) |
Album | Nikupe Nini Mungu Wangu |
Category | Thanksgiving / Shukrani |
Composer | Gabriel C.Mkude |
Views | 9,588 |
Nakushukuru Baba Lyrics
{Nakushukuru Baba, Bwana wa Mbingu na nchi
Kunilinda wiki nzima, Baba asante }*2- Uzipokee Baba hizi shukurani zangu,
Nakushukuru Baba mimi mwana wako - Ewe umenilinda mchana hata usiku
Nakushukuru Baba mimi mwana wako - Ninakushukuru kila siku wanilinda
Kwa mwili na damuyo Baba asante - Ee Mungu wangu wanipa chakula nilacho
Nakushukuru Baba mimi mwana wako