Nakushukuru Baba Lyrics

NAKUSHUKURU BABA

@ Gabriel C.Mkude

{Nakushukuru Baba, Bwana wa Mbingu na nchi
Kunilinda wiki nzima, Baba asante }*2

 1. Uzipokee Baba hizi shukurani zangu,
  Nakushukuru Baba mimi mwana wako
 2. Ewe umenilinda mchana hata usiku
  Nakushukuru Baba mimi mwana wako
 3. Ninakushukuru kila siku wanilinda
  Kwa mwili na damuyo Baba asante
 4. Ee Mungu wangu wanipa chakula nilacho
  Nakushukuru Baba mimi mwana wako
Nakushukuru Baba
COMPOSERGabriel C.Mkude
CHOIRMoyo Safi (Unga Ltd)
ALBUMNikupe Nini Mungu Wangu
CATEGORYThanksgiving / Shukrani




 • Comments