Twakushukuru Baba Mungu
Twakushukuru Baba Mungu | |
---|---|
Performed by | Our Lady of Fatima Kongowea |
Album | Uninyunyizie Maji (vol. 2) |
Category | Thanksgiving / Shukrani |
Views | 5,865 |
Twakushukuru Baba Mungu Lyrics
Twashukuru Baba Mungu, kwayo mema yako yote
Kwayo mema yako Baba, ambayo watujalia- Sifa kwako ee Baba, watupenda sana,
Ninakutukuza kwa nyimbo nzuri ee Baba - Mwambieni na matendo, yake Bwana yanatisha
Yanatisha kama nini tukuzeni sifa zake - Mkonowe wa kuume umetenda makuu
Mkonowe si tunasema, umetenda maajabu - Mwimbieni Bwana Mungu mwimbieni wimbo mpya
Kwa vinanda na kwa vinubi, kwa nderemo na vifijo