Login | Register

Sauti za Kuimba

Twakushukuru Baba Mungu Lyrics

TWAKUSHUKURU BABA MUNGU

Twashukuru Baba Mungu, kwayo mema yako yote
Kwayo mema yako Baba, ambayo watujalia

 1. Sifa kwako ee Baba, watupenda sana,
  Ninakutukuza kwa nyimbo nzuri ee Baba
 2. Mwambieni na matendo, yake Bwana yanatisha
  Yanatisha kama nini tukuzeni sifa zake
 3. Mkonowe wa kuume umetenda makuu
  Mkonowe si tunasema, umetenda maajabu
 4. Mwimbieni Bwana Mungu mwimbieni wimbo mpya
  Kwa vinanda na kwa vinubi, kwa nderemo na vifijo
Twakushukuru Baba Mungu
CHOIROur Lady of Fatima Kongowea
ALBUMUninyunyizie Maji (vol. 2)
CATEGORYThanksgiving / Shukrani
 • Comments