Afrika Mashariki

Afrika Mashariki
Choir-
CategoryTafakari

Afrika Mashariki Lyrics

Mmmm mmmmm mmmmm * 2
Wananchi wote tuungane pamoja
Tujenge jumuiya ya Afrika Mashariki
Wananchi wote tushikane mikono
Tuimarishe wote amani kwa pamoja
Tanzania nayo Kenya,
hata Uganda tushirikiane
Majirani toka Kongo,
Rwanda na Burundi tusaidiane
{Afrika Mashariki twafurahia sisi so-te
Afrika Mashariki tunaiunga mkono } *2

  1. Umoja wa nchi zote tuuimarishe sote
    Tuweni taifa moja na lenye upendo
  2. Viongozi wetu wote wawe na maelewano
    Mataifa yetu yote yawe na upendo
  3. Sote sisi kama ndugu tuudumishe upendo
    Na kama taifa moja tusaidiane