Bwana Alikuwa Tegemeo
Bwana Alikuwa Tegemeo | |
---|---|
Performed by | Kwaya Kuu ya St. Cecilia Arusha |
Album | MSHIPI (VOL. 22) |
Category | Zaburi |
Composer | A. Mdango |
Views | 7,137 |
Bwana Alikuwa Tegemeo Lyrics
Bwana alikuwa tegemeo langu *2
{ Akanitoa kanipeleka panapo nafasi
Akaniponya kwa kuwa alipendezwa nami } *2- Bwana alinitendea sawasawa na haki yangu,
Maana nimezishika njia zake wala sikumwasi Mungu - Nikayashika maagizo, sikuziacha amri zake,
Mbele zake sikuwa na hatia nikalinda wema wangu - Nikashika maadili sikuliacha Neno lake
Nikapendezwa nazo amri zake nikalinda Neno lake. - Basi atukuzwe Baba pia atukuzwe Mwana
Naye Roho Mtakatifu tangu sasa na hata milele