Mpeni Bwana Utukufu

Mpeni Bwana Utukufu
ChoirMaria Mt Mama wa Mungu Musoma
CategoryZaburi
ComposerMarcus Mtinga

Mpeni Bwana Utukufu Lyrics

{ Mpeni, mpeni Bwana utukufu na nguvu
Mpeni Bwana utukufu na nguvu } *21. Mwimbieni Bwana, mwimbieni Bwana wimbo mpya
Mwimbieni Bwana, nchi yote,
Wahubirini mataifa habari za utukufu wake
Na watu wote habari za maajabu yake

2. Kwa kuwa Bwana ni mkuu mwenye kusifiwa sana
na wa kuhofiwa kuliko miungu yote
Maana miungu yote si kitu
Lakini Bwana ndiye aliyezifanya mbingu

3. Mpeni Bwana mpeni Bwana enyi jamaa za watu
mpeni utukufu wa jina lake
Leteni sadaka mkaziinua
Na tetemekeeni mbele zake
Semeni Mungu ndiye mfalme

Favorite Catholic Skiza Tunes

SMS the Skiza ID to 811 to get the song as your Skiza tune.

TitleSKIZA ID
Cha Kutumaini Sina 5814855
Roho Yangu na Ikuimbie 5814859
Nikupe Nini Mungu Wangu 7482438
Sasa Wakati Umefika 7482439
Utukuzwe Ewe Baba 7482441
Nitakwenda Mimi Mwenyewe 7482440
Zaeni Matunda Mema 5814860
Huniongoza Mwokozi 5814856
Bwana Kama Wewe Ungehesabu Maovu Yetu 7482444
Tazama Tazama 7482442