Mungu ni Mwema
| Mungu ni Mwema | |
|---|---|
| Performed by | Kwaya ya Moyo Safi wa Bikira Maria, Unga Limited Arusha |
| Album | Tufurahi |
| Category | Tafakari |
| Composer | Fr. Mkoba |
| Views | 17,167 |
Mungu ni Mwema Lyrics
{Mungu ni mwema, ni mwema kwangu
Mungu ni mwema, ni mwema kwangu
Mungu ni mwema, Mungu ni mwema
Mungu ni mwema ni mwema Kwangu } *2- Ameniumba kwa sura yake,
Kanileta hapa duniani
Mungu ni mwema, Mungu ni mwema
Mungu ni mwema ni mwema Kwangu - Ananilinda mchana usiku
Na siku zote yuko na mimi
Mungu ni mwema, Mungu ni mwema
Mungu ni mwema ni mwema Kwangu - Ametmtuma mwanaye Yesu
Kuja unikomboa dhambini
Mungu ni mwema, Mungu ni mwema
Mungu ni mwema ni mwema Kwangu - Ametesa vikali sana
Hata akafa msalabani
Mungu ni mwema, Mungu ni mwema
Mungu ni mwema ni mwema Kwangu - Japo kweli mimi ni mdhambi
Bali yeye anipenda mimi
Mungu ni mwema, Mungu ni mwema
Mungu ni mwema ni mwema Kwangu