Furahini Siku Zote
Furahini Siku Zote | |
---|---|
Performed by | St. Mary Viane Bulanda Busia |
Album | Karibuni Busia |
Category | Tafakari |
Composer | J. C. Shomaly |
Views | 4,282 |
Furahini Siku Zote Lyrics
{Furahini siku zote, ombeni bila mwisho
Shukuruni kwa kila jambo
maana hayo ni mapenzi ya Mungu wetu } * 2- Tutubuni na kusali
tuombeni na baraka
Tudumishe familia - Unapopatwa na shida,
si mwisho wa roho yako
Shukuruni na kuomba - Matendo yenu mazuri,
yawe kitulizo kwenu
Kwa kusali na kuomba - Baraka anazo Mungu,
aombaye atapewa
Shukuruni na kuomba