Kanisa la Bwana
Kanisa la Bwana |
---|
Performed by | - |
Category | Faith |
Views | 7,334 |
Kanisa la Bwana Lyrics
Kanisa la Bwana litasimama
Kanisa la Bwana litasimama
Waktwaati wote wa majaribu
Wakati wote wa hukumu
- Kwa kuwa limejengwa kwa mwamba imara
Limejengwa kwa mwamba imara, imara
Hata mawimbi mabaya yakivuma
Kanisa la Bwana litasimama
- Ndani ya mwamba huo nitajificha
Wakati adui anaponivamia
Nitajificha penye utakatifu
Ndani ya nyumba ya Mungu wa milele
- Kwa kuwa limelindwa na roho wa Mungu,
Limelindwa na roho wa Mungu, wa Mungu
Hata shetani aje akinguruma
Kanisa la Bwana litasimama
Hata shetani aje kwa vishindo
Kanisa la Bwana litasimama
Hata shetani aje kwa ujanja
Kanisa la Bwana litasimama,
Daima na milele