Kuna Mambo Sita
| Kuna Mambo Sita | |
|---|---|
| Performed by | St. Veronica Kariakor Dar-es-salaam |
| Album | Walinizunguka Kama Nyuki |
| Category | Zaburi |
| Composer | R. Masanja |
| Views | 7,128 |
Kuna Mambo Sita Lyrics
{Kuna mambo sita, (kuna vitu sita)
Kuna vitu sita anavyochukia Bwana } * 2
Naam viko saba vilivyo chukizo kwake * 2- Bwana achukia, Bwana achukia
Bwana achukia ma-cho ya kiburi - Bwana achukia, Bwana achukia
Bwana achukia ulimi wa uongo - Bwana achukia, Bwana achukia
Mikono imwagayo damu iso hatia - Bwana achukia moyo uwazao,
Moyo uwazao uwazao mabaya - Bwana achukia, Bwana achukia
Miguu nyepesi kukimbilia ovu - Bwana achukia, Bwana achukia
Bwana achukia ushahidi wa uongo - Bwana achukia mtu apandaye,
Mbegu za fitina katikati ya ndugu