Nyamazeni Sasa
Nyamazeni Sasa Lyrics
{He he! he he! Nyamazeni sasa mkae kimya,
(nyamazeni) nyamazeni sasa mkae kimya! }*2
Nendeni mkajifunze upendo nenda
(nenda ndugu) Kapunguzeni maneno mengi
(mengi tena) Acheni ufarisayo kando
(kando Kisha) Mkajifunze upendo nenda
- Kulitajataja jina la Yesu, na kutolitaja taja kabisa
Yote ni sawa kabisa mmmh mmh
Lililo la muhimu, upendo,
Kuvumilia yote, upendo
Kuamini yote, upendo,
Kutumaini yote, upendo
- Kusudi watu wasiwatambue kwa yale mnayosema
Kwa yale maneno, bali kwa matendo tu
Kwa kuwathamini na kuwajali wenzenu daima *2
Kwa kuwakumbuka wale walio wadogo na wanyonge
Kwa kuwakumbuka wale walio wadogo na!
he! he! upendo! *3 he! upendo