Raha ya Mbinguni
   
    
     
         
          
            Raha ya Mbinguni Lyrics
 
             
            
- Ngoja nikusimulie ndugu yangu raha ya Mbinguni
 (kwa kweli)
 Mbinguni kuna raha, ni hakika kuna raha } * 2
 {Ni raha (ni raha) mbinguni ni raha ni raha tu
 Mbinguni ni raha,
 ni raha (Mbinguni) ni raha ni raha tu
 Mbinguni ni raha
 Ni raha ni raha ni raha (kweli) mbinguni ni raha}
- Huko watu hawafi kamwe - ni raha tu
 Huko hakuna ma-gonjwa
 Huko hawaijui huzuni
 Mbingu ni raha ndugu
- Malaika huimba huko
 Wateule husifu huko
 Watakatifu husujudia
 Mbinguni ni raha ndugu
- Kila nyumba ni kwake Mungu
 Ndiyo yerusalem mpya
 Huko yuko mama maria
 Mbinguni ni raha ndugu
- Tukitubu tutaingia
 Tutamwona mwokozi Yesu
 Tutasifu milele yote
 Mbinguni ni raha ndugu