Teremka Bwana Teremka

Teremka Bwana Teremka
Performed bySt. Vincenti Palloti Makiungu Singida Tz
AlbumWema Mkamilifu
CategoryMajilio (Advent)
ComposerGabriel C. Mkude
Views8,225

Teremka Bwana Teremka Lyrics

  1. { Teremka Bwana teremka,
    Teremka toka mawinguni, teremka
    Toka mawinguni mpaka duniani } *2
    Na tazama wanao wanavyokuimbia *2
    Wafurahi kwa ajili ya utukufu wako

  2. Shuka toka mbinguni, tazama makanisani
    Watu wote wanakusifu na kusema
  3. Shuka toka mbinguni, tazama na misituni
    Ndege wote wanakusifu na kusema
  4. Shuka toka mbinguni, tazama huko porini
    Wanyama wote wakusifu na kusema
Recorded by * St. Vincenti Palloti Makiungu Shinyanga (Wema Mkamilifu album) * St. Veronica Kariakoo (Walinizunguka Kama Nyuki album) * St. Cecilia Zimmerman Nairobi (Silegei album) . . among others